Showing posts with label Tetesi. Show all posts

Real Madrid ina mpango kabambe wa kuwabeba nyota wawili kutoka ligi kuu Uingereza ambapo inaandaa mpango kabambe wa kuzishawishi klabu za Li...

Klabu ya Manchester united imepanga kuingia kwenye vita ya kumuwania nyota wa Juventus, Alex Sandro ambaye amekuwa akifukuziwa kwa karibu na...

Nyota wa klabu ya Liverpool, Emre Can inaelezwa amekubali kutua Juventus, klabu ambayo imekuwa ikimhitaji kwa muda mrefu. Emre Can inaelezw...

Nyota wa klabu ya Liverpool, Phillipe Coutinho bado anachanganya vichwa vya wakurugenzi na viongozi wa klabu ya Barcelona ambapo inaelezwa w...

Baada ya kiwango kikubwa alichokionyesha katika msimu wake wa kwanza katika ligi kuu Uingereza, winga wa klabu ya Watford Richarlison sasa a...

Klabu ya Real Madrid inaripotiwa imeanza mazungumzo na nyota wa klabu ya Chelsea, David Luiz. David Luiz ambaye ana miaka 30 anaonekana kut...

Klabu ya Chelsea imepeleka tena maombi ya kumsajili nyota wa Gabon, Pierre Aubameyang ambaye anaichezea klabu ya Borussia Dortmund. Inaelez...

Nyota wa klabu ya Manchester united, Anthony Martial anatakiwa na klabu ya Real Madrid ambayo ipo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 80 i...

Klabu ya Barcelona inadaiwa imejitoa kwenye mbio za kumsajili nyota raia wa Ujerumani, Mesut Ozil. Inaelezwa klabu hiyo ilikuwa ikimfukuzia...

Klabu ya Arsenal inaongoza katika kumuwania nyota wa klabu ya Schalke 04 raia wa Ujerumani, Leon Goretzka. Goretzka ambaye anakaribia kumal...

Klabu ya Barcelona ipo kwenye mazungumzo na wakala wa nyota wa Arsenal, Mesut Ozil ili kumsajili nyota huyo katika dirisha dogo la usajili l...

Nyota wa Barcelona raia wa Uturuki, Arda Turan ameomba shinikizo lake la kuondoka klabuni hapo liweze kufanyiwa kazi ili aachane na klabu hi...

Mlinzi wa pembeni wa klabu ya Crystal Palace na timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick van Aanholt anatakiwa na kocha wa Manchester city, Pep Gu...

Mlinda mlango wa klabu ya Man utd, David De Gea huenda akajiunga na klabu ya Real Madrid mara baada ya taarifa kusema bado rais wa klabu hiy...

Klabu ya Barcelona imepanga kuifata klabu ya Arsenal katika kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji anayeichezea klabu hiyo. Barca inataka k...

Klabu ya Bayern Munich inamtaka mshambuliaji wa klabu ya Arsenal, Olivier Giroud, mshambuliaji mwenye miaka 31. Giroud amekuwa hana uhakika...

Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata ambaye amesajiliwa akitokea Real Madrid katika dirisha kubwa la usajili la kipindi cha kiangazi amese...

Kumekuwa na fununu au tetesi ikielezwa klabu ya Real Madrid ipo katika mipango ya kumrudisha winga na mshambuliaji wa PSG, Neymar Jr. katik...

Wababe wa ligi kuu Hispania, Real Madrid na Barcelona zimepanga kuivunja ligi kuu Uingereza kwa kuwang'oa wachezaji nyota wa klabu hizo ...

Klabu tajiri duniani kwa sasa Real Madrid na Man utd zinaweza zikaingia kwenye vita nyengine, ukiachana na vita ya kugombania mashabiki. ...

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.