Andrew jones kijana mtanashati ambaye alikutwa na tatizo la moyo akiwa na umri wa miaka 22 ambapo aliweza kupelekwa hospital ambapo waliamua kumpandikiza moyo bandia ambao anatembea nao huku akitakiwa auchaji kila usiku ii uzidi kuendelea kufanya kazi.






Pamoja na tatizo hilo la moyo,kijana huyu  kuwa anafanya mazoezi na watu zaidi ya milioni 10 duniani wameangalia video zake za mazoezi hayo

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.