Showing posts with label Sports HD. Show all posts

CHRISTIANO RONALDO Ambaye kwa sasa anaichezea Real madrid ya Hispania,Ndiye mchezaji anayeongoza kwa ufungaji wa magoli mengi katika msimu m...

Barcelona usiku wa kuamkia leo imetwaa kikombe cha ICC na kuwapiku matajiri wa manchester,Man city baada ya kuibuka na ushindi wa bao 3-2 d...

Tetesi zinasema timu ya Ac monaco imetaja bei ya kinda Mmbape kuwa ni €180,ambapo atakuwa mchezaji ghali zaidi duniani.

Timu ya chelsea ambao ni mabingwa wa Uingereza msimu uliopita,wameweka dau la €62 kumsajiri beki wa juventus Alex sandro ambalo litavunja r...

Mtogo Emmanuel adebayor,ameibuka na kusema moja ya makosa ambayo ameshawahi kuyafanya katika maisha yake ya soka ilikuwa ni kuhamia Crystal...

Chama cha soka nchini ghana (GFA) Kimempa mkataba aliyekuwa kocha wa timu hiyo hapo awali kati ya mwaka 2012-2014 kwesi baada ya kocha Avram...

Kiungo wa Tottenham hotspurs Lamela nje kwa msimu baada ya kupata maumivu ya paja. Lamela ambaye hajaingia uwanjani tangu mwezi wa kumi m...

Mwanamieleka mkongwe wa WWE,The american  badass,Big Evil au alimaarufu kama undertaker,hivi karibuni ameingia kwenye bifu zito na mwanamie...

Mtanzania mbwana samata Ameingia kwenye tumu bora ya UEFA ya wiki baada ya magoli yake mawili aliyoifunga Timu ya Gent kene mashindano ya E...

Nahodha wa Uingereza Wayne Rooney anasema kuwa atasalia katika klabu ya Manchester United baada ya kuhusishwa na uhamisho wa China. Mchezaj...

Hii itakuwa wiki nzuri na yenye mvuto katika nchi ya Cameroon baada ya timu yao ya taifa ya mpira wa miguu kunyakua ubingwa WA AFCON 2017 ba...

Goli la pekee ya Sam Vokes lililofungwa dakika za lala kwa salama liliweza kuipatia burnley ushindi wa bao moja nunge dhidi ya mabingwa wate...

Vinala wa ligi kuu ya uingereza chelsea wamelazimishwa sare ya bao moja moja na majogoo wa jiji huko anfield. Licha ya liverpool kuutawal...

Mpaka sasa msimamo unaonyesha Chelsea atamaliza mgunguko huu wa kwanza akiwa kileleni. Kwa kuwa Chelsea wanaongoza msimamo kwa tofauti ya po...

Kocha msaidizi wa Bayern Munich, Paul Clement na kocha wa zamani wa Birmingham City, Gary Rowett wapo kwenye mchuano ambapo mmoja wao anateg...

Hatimaye mnyama, Simba ameendeleza kugawa dozi baada ya jioni ya leo kuchomoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting. Alikuwa ni kiung...

Jioni ya leo kunatarajiwa kuchezeka mchezo hatari na wenye hali ya kisoka. Ni mchezo unaokamilisha raundi ya 18 kwa msimu wa 2016-17 ambapo...

Hatimaye Ngamia wa Jangwani amtafuna Mmakonde. Ni vita iliyotokea siku ya leo muda mfupi uliopita ambapo watoto wa jangwani, Yanga African...

Usiku wa leo kutakuwa na mchezo wenye mvuto sana pale Uingereza katika dimba la St.Mary's park ambapo wenyeji wa uwanja huo Southampton...

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.