Timu ya chelsea ambao ni mabingwa wa Uingereza msimu uliopita,wameweka dau la €62 kumsajiri beki wa juventus Alex sandro ambalo litavunja rekodi ya usajiri wa mabeki duniani.
Rekodi iyo ambayo sasahiv inashikilowa na Benjamini mendy (€57) aliyesajiliwa na man city msimu huu inategemewa kuvunjwa pindi sandro atakapokubali kujiunga na chelsea.
Post a Comment
Post a Comment