Klabu ya Yanga SC au matajiri wa jangwani leo wamefanya makubwa leo mara baada ya kuitungua klabu ya Mbeya city mabao 5-0 katika uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Ilikuwa ni siku tamu kwa mshambuliaji wa timu ya Yanga African, Obrey Chirwa ambaye alifunga magoli matatu peke yake akidhihirisha ubora wake baada ya kushinda tunzo ya mchezaji bora wa mwezi oktoba.
Ni Chirwa na Emmanuel Martin ndio walioipa raha klabu yao ya Jangwani kwa ushindi huo mnono ulioipata ikimfukuzia klabu ya Simba iliyopo kileleni.
Matokeo Mengine, michezo ya leo;
Post a Comment
Post a Comment