Idara ya polisi nchini colombia imeripoti kuwa watu zaidi ya 9 wanasaikiwa kupoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama maji katika moja ya bwawa moja huko colombia kaskazini.


Watu 28 hawajulikani waliko, baada chombo cha ghorofa nne, lilipoanza kujaa maji mara tu lilipo n`goa nanga katika ziwa moja la kujiundia, karibu na mkahawa mmoja maarufu kwa watalii la Guatapé, kilomita 45 mashariki mwa Medelini, siku ya Jumapili ambapo ripori zinasema chombo kilikuw na takribani watu 150 ndani yake.

Moja wa mashuhuda aliiambia BBc kuwa chombo hiko kilichukua chini ya dakika 5 kuzama na vyombo vya uokoaji ndiyo vilivyofanya kazi kubwa ya uokoaji ikiwemo wanamaji wa jeshi,helikopta za kivita na boti za majini ndizo zilizofanya kazi kubwa ya uokoaji katika sakata hilo zima.


Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.