Barcelona usiku wa kuamkia leo imetwaa kikombe cha ICC na kuwapiku matajiri wa manchester,Man city baada ya kuibuka na ushindi wa bao 3-2 dhidi ya mahasimu wao wa jadi Real madrid.
Mchezo huo ambao ulipigwa Miami marekani,ulianza kwa kasi sana ambapo katika dakika ya 3 ya mchezo,Lionel messi alifungua ukurasa wa mabao na kuiandikia barca bao moj bila.Haikudumu sana ambapo dakika ya 7 ya mchezo ivan rakitic akapachika bao la pili baada ya pasi nzuri sana kupigwa.
Mchezo huo ambao ulikuwa wakuvutia na zaidi ya mchezo wa kirafiki,uliendelea kuwa wakasi huku barcelona wakitawala kwa sehemu kubwa.Alikuwa kovasic wa real ambaye alipunguza nusu ya magori ndani ya dakika ya 14 ya mchezo baafa ya kaunta attack safi kupigwa. mchezo uliendele kuwa wa safi ambapo mnamo dakika 9 kabla ya mapumziko,Ansesio akaisawazishia madrid na kwend mapumziko wakiwa 2-2.
Mchezo ulikuja kuamuliwa dakika ya 50 na beki wa wa barca puyor na kichukua kikombe hicho.
Ikumbukwe kuwa mabingwa wa hispania na uefa,madrid,wanamaliza michezo yao ya pre-season bila ushindi wowote huku kipigo chao kikubwa wakikipokea kutoka kwa man city 4-1

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.