Mwanamieleka mkongwe wa WWE,The american badass,Big Evil au alimaarufu kama undertaker,hivi karibuni ameingia kwenye bifu zito na mwanamieleka chipukizi Roman Reigns ambaye pia ni tishio na ni bingwa wa mkanda wa WWE mara tatu na ameshawahi kuchukua Royal Rumble mwama juzi.

Undertaker ndiye bingwa wa kihistoria katika mashindano hayo baada ya kushinda miaka 20 mfululizo na kupoteza mara moja tu dhidi ya Block lesnar,The beast incarnate.
Post a Comment
Post a Comment