Chama cha soka nchini ghana (GFA) Kimempa mkataba aliyekuwa kocha wa timu hiyo hapo awali kati ya mwaka 2012-2014 kwesi baada ya kocha Avram grant kuachia ngazi mwanzoni mwa wiki hii.
Kwesi pia atachukua majukumu ya kunoa kikosi cha wachezaji wa ndani.
Tangu aachene na black stars,kwesi amekuwa akikinoa kikosi cha Sudanese side Al Khartoum.
Post a Comment
Post a Comment