Kiungo wa Tottenham hotspurs Lamela nje kwa msimu baada ya kupata maumivu ya paja.
Lamela ambaye hajaingia uwanjani tangu mwezi wa kumi mwaka jana kwa sababu ya hayo matatizo na atafanyiwa upasuaji jumamosi
Lamela alitweete
"Nimejitahidi kila niwezavyo lakini bado paja langu halipo sawa asilimia 100"
Alijiunga na spurs mwaka 2013 akitokea roma na Lamela amecheza michezo 14 msimu huukabla ya majeraha hayo
Post a Comment
Post a Comment