CHRISTIANO RONALDO Ambaye kwa sasa anaichezea Real madrid ya Hispania,Ndiye mchezaji anayeongoza kwa ufungaji wa magoli mengi katika msimu mmoja wa Klabu bingwa ulaya ama maarufu kama UEFA champions league.
Ronaldo amefunga magoli yafuatayo.
Msimu wa 2015 - Magoli 16
Msimu wa 2017 - Magoli 16
Endelea kifuatilia Rekodi nyingine za michezo na Mitaaniforum.
Post a Comment
Post a Comment