kutoka Aljazeera.



Nguvu ya pembe za vifaru na soko lake la siri ndiyo inayofanya majangari wazidi kuwuwa na kuwatishia wanyama hawa.

Katika tiba za asili za china,pembe  za vifaru zilikuwa zinachukuliwa na kusagwa halafu baadae kuchanganywa na maji ya moto na kutumika kama tiba kwa ajiri ya magonjwa mbali mbali.

Katika miaka ya karibuni,wataalamu wa vyuo vya tiba asilia wameibuka na kusema kuwa hakuna ushahidi wowote kuwa pembe hizo zinauwezo wowote wa kutibu.

Katika miaka ya katibuni ndani ya vietnam kumekuwa na tetesi za hapa na pale kuwa watu wenye pesa,viongozi na hata wafanya biashara wakubwa pindi wakiumwa wanekuwa wakipewa pembe za ndovu na madaktari wao na kuongeza maisha yao.
.ingawa hakuna ushahid juu ya hilo.

Afrika kusini mauaji ya vifaru yameongezeka kutoka  dazeni chache mwaka 2008 mpaka mamia mwaka2011 na zaidi ya 1200 kwa miaka miwili mittu iliyopit

Katika mbuga ya wanyma ya Kruger natiknal park,zaidi ya faru watatu uuliwa kila siku na majangiri.

Kadri ya matakwa ya china na vietnam yanavyozidi kukuwa na gharama ya faru inaongezeka.kilo moja ya pembe inauzwa kati ya $30000 na $60000.pembe hizi zinatengenezewa bangiri,vikombe,cheni,pete.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.