mbio za kuwania uraisi zafika patamu baada ya mmoja wa wagombea wakiti hiko kupitia chama cha mapinduzi MH.Edward lowassa kupigwa chini na kamati kuu ya ccm katika kikao cha siri kilichofanyika dodoma leo hii.
Wagombea hao kupitia ccm majina yao yalikatwa mpaka kufikia 5.Lakini gumzo lilikuwa pale jina lililokuwa likitegemewa na wengi la mh.Lowassa kutokuwepo katika majina yale matano 5.majina yaliyopitishwa ni..
JOHN POMBE MAGUFULI
ASHA ROSE MIGIRO
BERNARD MEMBE
AMINA
JANUARY MAKAMBA
hawa ndio waliobakia katka mchujo ambapo watabakia wagombea 3 ambao watapigiwa kula na kene kikao kitakachofanyika usiku wa leo
MORE TO FOLLOW............

Post a Comment
Post a Comment