KIVUMBI chaendelea jijini dodoma .hii ni baada ya wagombea wengine kwa tiketi ya ccm kuenguliwa na kikau kilichofanyika jijini dodoma jioni ya leo.Hii imefuatia baada ya hapo awali wagombea zaidi ya ishirini majina yao kukatwa na kamati hiyo na kubaki majina matano.Kati ya majina matano yaliyobaki yakiwemo ya kina MH.MIGIRO,MAGUFURI na wengineo,majina ya viongozi wawili yamepunguzwa na kamati hiyo.Majina hayo ni ya Mh.Bernard membe na January makamba . mengine yatafata
Post a Comment
Post a Comment