Rappa NICK MINAJ aangukia kifuani mwa MEEK MILL kimapenzi baada ya kuvutiwa na muenendo wa rappa huyo.Anadai kuwa anamvutia kwa mengi kadri moyo wake unavyozidi kufurahishwa na MEEK MILL . Sidhani kuwa yatakuwa kama ya masupastaa wetu wa bongo, labda kwa utajiri wao au laah. Sisi mashaiki tunabaki kuwa macho yetu maana Mapenzi Upofu.
Post a Comment
Post a Comment