Mshambuliaji wa klabu ya KRC Genk, Mbwana Samatta ambaye ni raia wa Tanzania ametuma ujumbe katika mtandao wa Instagram mara baada ya kutoka kwenye upasuaji.
Samatta ataukosa mchezo wa jumapili ambapo Taifa Stars itamenyana na Benin katika mchezo wa kirafiki.
Tunakupenda sana Tanzania 255 Champion
Upone haraka urudi uwanjani....
Post a Comment
Post a Comment