Mlinzi raia wa Ufaransa anayeichezea klabu ya Olympique Marseille, Patrice Evra amefungiwa kucheza soka na chama cha mpira Ulaya, UEFA.

Evra amefungiwa kucheza soka katika ngazi ya vilabu kwa miezi saba mara baada ya kumpiga teke shabiki wa klabu hiyo kabla ya mchezo wa timu hiyo ilipomenyana na  Vitoria Guimaraes lakini pia mchezaji huyo amepigwa faini ya Euro 10,000 ambayo ni sawa na shilingi milioni 200 za kitanzania.

Kutokana kwa adhabu hiyo ambayo itaisha mwezi juni mwakani muda ambao ligi zote zitakuwa zimeisha ambapo pia itamaanisha mkataba kati yake na klabu ya Olympique Marseille utakuwa umeisha na itaangaliwa kama atasaini mkataba mpya au laah.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.