MH.dk John Pombe Magufuli apitishwa na chama cha mapinduzi kuwa mgombea wa chama hicho baada ya kikao cha wajumbe kufanyika hapo jana na kura kupigwa! Matokeo yaliyo tangazwa leo mchana yanaonesha kuwa MH.magufuli amewabwaga wenzake kwa kupata kura jumla ya asilimia 87.1% ikiwa ni sawa na kura 2104 kati ya 2416 zilizopigwa na wajumbe hapo jana

Post a Comment
Post a Comment