1926: Azaliwa mkoa wa kaskazini mashariki wa Oriente nchiniCuba
1953: Afungwa jela baada ya kuongoza maasi ambayo hayakufanikiwa dhidi ya utawala wa Batista
1955: Aachiliwa huru kutoka jela chini ya mkataba wa msamaha
1956: Akiwa na Che Guevara, aanza vita vya kuvizia dhidi ya serikali
1959: Amshinda Batista, na kuapishwa waziri mkuu wa Cuba
1961: Awashinda wapiganaji waliofadhiliwa na CIA waliovamia Bay of Pigs
1962: Atifua mzozo wa makombora wa Cuba kwa kukubali USSR iweke makombora Cuba
1976: Achaguliwa rais na bunge la Cuba
1992: Aafikiana na Marekani kuhusu wakimbizi wa Cuba
2008: Ang'atuka madarakani kwa sababu za kiafya
 
Post a Comment
Post a Comment