Bao la pedro la dakika 45 liliweza kuisawazishia chelsea iliyokuwa nyuma kwa bao moja lililofungwa na Ericksen kwa shuti kali dakika ya 13 kabla ya Victor moses kuipatia chelsea bao la pili dakika ya 51.

Chelsea ambayo imeshinda mechi sita mfululizo kabla  ya hiyo ya jana bila kuruhusu goli  hata moja jana ilijikuta nyuma kwa bao moja ndani ya dakika 13 baada ya ericksen kupiga shuti kali lililomshinda mlinda mlango wa chelsea courtois.

Spurs iliendelea kutawala mchezo huo kwa kipindi chote cha kwanza kabla pedro kufunga goli la mbali ndani ya dakika 45.

Kipindi cha pili kilianza kivingine kwa chelsea kutawala mchezo huo na ndani ya dakika ya 51 victor moses aliipatia chelsea goli la ushindi.

Kwa ushindi huo chelsea inakaa kileleni kwa pointi moja juu ya liver na man city.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.