Mtambo maalumu ambao utatumika katika kusafisha taka ambazo zipo katika mzingo wadunia waanza kutengenezwa huko japani.
Mtambo huo umeundwa kwa kusaidiana na kapuni ya UVUVI umewekewa nyaya ndefu zenye urefu wa kiasi cha mita 700 ambazo zitasaidia kukusanya taka zote ambazo zipo kene mzingo huo wa dunia ambapo kunasadikika kuwa na taka zaidi ya MILIONI 100 vikiwemo vipande vya chuma vilivyotokana na satelites na vitu vingine.
Vipande vingi kati ya hivi vinasonga kwa kasi sana kuizunguka dunia
kwenye mzingo wake, baadhi vikifikia kasi ya kilomita 28,000 kwa saa
(maili 17,500 kwa saa) na kuna wasiwasi kwamba vinaweza kusababisha
ajali mbaya au kuharibu mitambo inayosaidia mawasiliano duniani
Post a Comment
Post a Comment