Gundu laendelea huko emirates baada ya arsenal kupewa droo ngumu ya bayern munich inayonolewa na carlo ancelotti huko ndugu zao man city wakivaana na MONACO.

mabingwa watetezi wa ligi kuu ya England Leicester city wao watavaana na mabingwaa mara tatu mfululizo wa europa league sevila ya uhispania.

Mabingwa watetezi wa kombe hilo Real madrid wao watavaana na napoli.

JUVENTUS VS SERIE A AGIANT
MAN CITY VS AS MONACO
REAL MADRID VS SSC NAPOLI
SL BENIFICA VS BORUSSIA DOTMUND
FC BAYERN MUNICH VS ARSENAL
FC PORTO VS JUVRNTES
BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATLETICO MADRID
PARIS SAINT- GERMANY VS BARCELONA
SEVILLA VS LEICESTER CITY

Draw hiz zinatajiwa kuchezwa kuanzuia february 14/15 na  february 21/22


Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.