Aliyekuwa kocha wa Zamani wa swansea na Liverpool ya uingereza,Brendani rogers ambaye kwa sasa ni kocha wa Celtic alikuwa na haya ya kusema baada ya kuweka rekodi ya mpya mjini uingereza baada ya kuibuka na ushindi wa bao 4-0 dhidi ya st johnstone.

Brendan rogers alikuwa na haya ya kusema baada ya kuvunja rekodi iliyowekwa kwa miaka 100 yaani mwaka 1917 na kocha willey.

"Kushikilia rekodi hii kwa uingereza ni jambo la kufurahisha"

"Tangu nakua nimekuwa nikiijua timu ya willie maley ya mwaka 1917,ikiongozwa na wachezaji kama Patsy Gallacher,walikuwa na kikosi kizuri na chenye ushindani"

"Kwa muda wote,waliweza kupitia mambo mengi ikiwemo kutanguliwa kifungwa,kuwa nyuma kwenye mechi na kadhalika"

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.