Baada ya aliyekuwa director wa michezo chelsea,mnigeria Michael Eminalo kumwaga manyanga jana na kufanya nafasi hiyo iwe wazi kwa sasa,Legend na mchezaji mkongwe wazamani wa chelsea na mwenye umaarufu mkubwa klabuni hapo 'FRANK LAMPARD' Ndiye anayetajwa kurithi mikoba hiyo ya eminalo.

Licha ya Lampard kuonekana  ni chaguo sahihi kwa mashabiki na nimtu ambaye atakuwa na kazi kubwa ikiwemo ya kurudisha uhusiano wa conte na mmiliki wa klabu hiyo Mr Abramovich,Lakin viongozi wa bodi hiyo bado wanasuasua kufanya uamuzi huo wa kumpa Lampard mikoba uku baadhi yao wakiona bado hajafikia vigezo hivyo.

Ikumbukwe Lampard ndiye mchezaji anayeshikiria Rekodi ya ufungaji wa muda wote klabuni hapo.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.