Wachezaji wa tatu wa Manchester united ambao wapo majeruhi kwa sasa,Marcos Rojo,ibrahimovic aliyeumia katika mechi ya Ueropa msimu uliopita na Paul pogba wanatarajiwa kurudi kikosini hapo majira ya sikukuu ya christmass.
Wachezaji hao ambao tangu waumie,Manchester united imekuwa ikipata matokeo mabaya sana,Wanatarajiwa kuja kukinyanyua kikosi hicho ili kumkimbiza kinala wa Ligi hiyo Manchester city anayeongoza kwa pointi 31,point 8 mbele ya Man u ambaye yupo nafasi ya Pili.
Kocha wa Mashetani wekundu,mreno Mourinho anaamini kurudi kwa wachezaji hao tegemezi kutarejesha matumaini ya kumkamata Man city juu ya msimamo wa Ligi.
Post a Comment
Post a Comment