Ule mfumo uliozua utata na kelele nyingi katika michuano ya mabara ambayo ilifanyika mwaka huu, mfumo wa VAR yaani Video Assistant Referee unatajwa kutumika tena katika mchezo kati ya England dhidi ya Ujerumani.

Mfumo huo ambao unatumika kumsaidia mwamuzi katika kufanya maamuzi sahihi pale ambapo mwamuzi hajaweza au hana uhakika kwa tukio lililotokea.

Mfumo huo uliohararishwa na chama cha IFAB mwaka 2016 ulishawai kujaribiwa katika mashindano mbalimbali na sasa unaenda kutumika katika mchezo dhidi ya wababe hao ambao watamenyana.

Mfumo huo umeshawai kutumika pia katika baadhi ya ligi kuu kama ligi kuu ya ujerumani maarufu kama Bundesliga, ligi kuu ya italia Serie A na ligi kuu nchini Marekani.

Mfumo huo utatumika katika mchezo kati ya England dhidi ya Ujerumani ijumaa hii katika uwanja wa Wembley.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.