Goli la pekee ya Sam Vokes lililofungwa dakika za lala kwa salama liliweza kuipatia burnley ushindi wa bao moja nunge dhidi ya mabingwa watetezi wa ligi ya uingereza leicester.
Leicester sasa ipo nafasi ya 16 huku lile linaloitwa gundu la kushindwa kushinda mechi ya ugenini tangu msimu uanza likizidi kupamba moto
Post a Comment
Post a Comment