Msanii wa kizazi kipya Vanneaa mdee ameibuka na kudai kuwa yeye na mpenzi wake jux ugomvi wao mkubwa ni simu.

"Mvivu wa simu amefarakanishwa na simu yake huyu jamaa, hata kwenye kujibu txt au kupokea simu hana ushirikiano na simu kabisaa kwa hiyo tunagombanaga mara nyingi kuhusiana na communication" alisema Vanessa Mdee
Post a Comment
Post a Comment