Vinala wa ligi kuu ya uingereza chelsea wamelazimishwa sare ya bao moja moja na majogoo wa jiji huko anfield.
Licha ya liverpool kuutawala mpira kwa mda mwingi,chelsea ndiyo iliyokuwa ya kwanza kupata bao la kwanza kupitia beki wake kisiiki David Luiz kwa faulo kali iliyo mshinda mlinda mlango wa kibelgiji mignolet.
Kipindi cha pili kilianza kwa kasi huku liverpool wakipata bao la kusawazisha mnamo dakika ya 58.
Diego costa alikosa penati dakika za lala kwa buriani
.sare hiyo inamaanisha chelsea wapo kileleni kiwa pointi tisa,9
Viwanja vingine vilikuwa kama ifuatavyo
Arsenal 1- 2 watford
sunderland 0-0 Tottenham
Bournemouth 0-2 crystalpalace
Burnley 1-0 Leicester
middlesbrough 1-1 Westbrom
swansea 2-1 southampon
Post a Comment
Post a Comment