Mtogo Emmanuel adebayor,ameibuka na kusema moja ya makosa ambayo ameshawahi kuyafanya katika maisha yake ya soka ilikuwa ni kuhamia Crystal palace.
Adebayor ambaye alishawahi kuchezea klabu kubwa kama Arsenal na Real madrid alisema haya alipoojiwa.
" Kujiunga crystal palace ilikuwa ni kosa kubwa ambalo sijawahi kulifanya katika maisha yangu ya soka'
"Na nilifanya ivyo ili kuwaridhisha rafiki zangu wa karibu walionitaka nicheze tena mpira,najutia yale maamuzi"
Post a Comment
Post a Comment