kikundi cha kigaidi kinachoungwa mkono na shirikia la kijasusi la marekani na korea kusini wameingia nchini korea kusini kukamilisha kile kinachoitwa kumuangamiza raisi wa korea kaskazin kim jong un Taarifa zinasema.
Taarifa kutoka wizara ya usalama nchini Korea Kusini imesema mawakala wa kundi la kigaidi linaloungwa mkono na Shirika la Ujasusi la Marekani (CIA) na shirika la ujasusi la Korea Kusini wameingia nchini Korea Kusini wakiwa na silaha hatari ya bio-kemikali.
Korea kaskazini imeripotiwa wamesema watatumia nguvu zao zote kuhakikisha watu hao wana uwawa haraka iwezekanavyo.
Post a Comment
Post a Comment