Jioni ya leo kunatarajiwa kuchezeka mchezo hatari na wenye hali ya kisoka. Ni mchezo unaokamilisha raundi ya 18 kwa msimu wa 2016-17 ambapo watoto wa mjini kama wanavyopenda kujiita, Simba SC watadondoka uwanjani kumenyana na timu ya Ruvu Shooting. Ambapo Simba ambao ndio vinara wa ligi hiyo watataka kushinda magoli mapema ili kuweza kujihakikishia ushindi na usalama wa ubabe wao pale akiwa amemwacha Yanga ambae ndie mtu wa pili kwa point moja huku Yanga akiwa mbele kwa mchezo wa jana alioshinda bao 4-1.
Post a Comment
Post a Comment