sanii wa Hollywood Debbie Reynolds amefariki akiwa na umriwa miaka 84, siku moja tu baada ya kifo cha binti yake, Carrie Fisher.Alikimbizwa hospital baada ya kushikwa na ugonjwa nyumbani kwa mtoto wake wa kume huko Beverly Hills.Debbie Renolds ama Mary Frances, umaarufu wake ulikuwa mwaka 52, wakati alipofanya tamasha sambamba na Gene Kelly katika wimbo uliojulikana kama ''..Singin' in the Rain..''Alikuwa pia ni muigizaji wa sanaa ya vichekesho
Post a Comment
Post a Comment