Hatimaye mnyama, Simba ameendeleza kugawa dozi baada ya jioni ya leo kuchomoza na ushindi wa 1-0 dhidi ya Ruvu Shooting.
Alikuwa ni kiungo mshambuliaji, Mohammed Ibrahimu aliyenyanyua na kuwapa furaha mashabiki wa Simba kwa kufunga bao zuri na kuzidi kuifanya Simba kujichimbia kileleni kwa tofauti ya points 4.
Post a Comment
Post a Comment