mchungaji wa afrika ya kusini ambaye anatumia dawa za kuulia wadudu alimaarufu kama PESTCIDE afikishwa kikaangoni.
Katika post yake ya facebook mchungaji huyo alidai kuwa dawa aina ya DOOM inaweza kutibu magonjwa.
Kampuni inayozalisha dawa ya doom imesema kuwa dawa hiyo inamadhara makubwa kwa binadamu ambayo inawafikia.pia serikali imesema mtu yeyote ambaye atakuwa amedhuriwa na dawa hiyo aende mahakamani.
Katika picha mchungajihuyo anaeitwa Rabalango anaonekana akimpulizia dawa mmoja wa muhumini wa kanisa hilo linaloitwa Mountzion General Assembly katka mji wa limpopo.
akihojiwa na BBC mchungaji huyo amesema kuwa alimpulizia dawa mwanamama huyo machoni kwa sababu alikuwa na tatizo la kuona na hajapata madhara yeyote kwa sababu aliamini nguvu za mungu
Post a Comment
Post a Comment