Mlinda mlango wa klabu ya Man utd, David De Gea huenda akajiunga na klabu ya Real Madrid mara baada ya taarifa kusema bado rais wa klabu hiyo maarufu kama Le Blancos, Fiorentino Perez anamuhitaji nyota huyo kama chaguo la kwanza.

De Gea mpaka kufikia majira ya kiangazi mwakani atakuwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake na inaelezwa Mourinho hatomruhusu nyota huyo kuondoka.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.