Mlinzi wa pembeni wa klabu ya Crystal Palace na timu ya taifa ya Uholanzi, Patrick van Aanholt anatakiwa na kocha wa Manchester city, Pep Guardiola ili kuziba pengo la Benjamin Mendy.

Mendy aliyesajiliwa na kocha huyo katika dirisha kubwa la usajili kabla kuanza kwa ligi kuu amepata majeraha na anatazamiwa kuchelewa kurudi ambapo kwa nafasi yake ya mlinzi wa kushoto inachezwa vyema na kiungo wa zamani wa klabu ya Aston Villa, Delph.

Lakini kocha huyo anamtazamia van Aanholt ambaye yupo tayari kutoa kiasi cha paundi milioni 12 ili kumsajili nyota huyo.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.