Klabu ya Arsenal inaongoza katika kumuwania nyota wa klabu ya Schalke 04 raia wa Ujerumani, Leon Goretzka.
Goretzka ambaye anakaribia kumaliza mkataba na klabu yake ya Schalke na anaelezwa kuzivutia klabu kubwa barani Ulaya huku Arsenal ikiongoza katika harakati za kumnyakua nyota huyo wakati Manchester united nayo ikitajwa kumuwania.
Post a Comment
Post a Comment