Leo katika kipengele cha Wahenga tupo na mwanamziki na mwana harakati au Mwana Falsafa aliyewai kusema kwenye kuoa bado yupo yupo kwanza ingawa leo ana mke.

Mwana FA ametoa utani kwa mashabiki wa Liverpool mara baada ya kuanza kuongoza mchezo vizuri kwa kushinda 3-0 kabla ya Sevilla kurudi na nguvu mpya na kuchomoa magoli yote na kufanya mchezo kuisha 3-3.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.