Klabu ya Real Madrid inaripotiwa imeanza mazungumzo na nyota wa klabu ya Chelsea, David Luiz.
David Luiz ambaye ana miaka 30 anaonekana kutokuwa na namba tena katika kikosi cha Chelsea kilicho chini ya kocha Antonio Conte.
Lakini Madrid hawatopata urahisi katika kumsajili mlinzi huyo raia wa Brazil ambaye anatakiwa pia na Manchester united.
Post a Comment
Post a Comment