Klabu ya Arsenal iliyo chini ya kocha Arsene Wenger imefanya usajili mara baada ya leo kutangaza kumsajili mtu kutoka klabu ya Barcelona.
Raul Sanhelli aliyekuwa akishugulika na mikataba na kufanya ushawishi kwa wachezaji wa klabu ya Barcelona ametangazwa kuingia katika bodi ya Arsenal ambako hapo atakuwa akifanya kazi ya kuhusika na sajili na mikataba yote kwa wachezaji.
Sanhelli ambaye mkataba wake na klabu ya Barcelona unaisha tarehe 1 mwezi desemba anaelezwa kuingia kwenye bodi ya Arsenal ambapo hapo majukumu yake yatakuwa juu ya kufanya usajili na kushughulika na mikataba.
Hii inaweza kuwa faida kwa mashabiki wa Arsenal kutoka na Raul kuwa na ushawishi mkubwa kwa wachezaji na ameahidi kufanya makubwa kwa klabu hiyo atakayoanza kufanya nayo kazi mwezi februari mwaka 2018.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.