Usiku wa leo kutakuwa na mwendelezo wa michezo ya ligi kuu Uingereza ambapo klabu kadhaa zitashuka uwanjani kugombani alama tatu ili kujitoa katika nafasi ya chini na kupanda juu.
Lakini katika usiku huu wa leo mchezo utakaovuta hisia na macho ya wengi ni ule wa Watford iliyoko nyumbani Vicarage Stadium ikiikaribisha klabu tajiri katika jiji la Manchester, Manchester united.
Mchezo huo unategemewa kuanza saa 23:00 na utaweza kuuangalia mubashara (live) kupitia humuhumu katika blog.
Michezo mingine;
Brighton vs Crystal palace (saa 22:45)
Leicester vs Tottenham (saa 22:45)
West Brom vs Newcastle (saa 23:00)
Post a Comment
Post a Comment