Mshambuliaji wa klabu ya Atletico Madrid ambaye ni raia wa Ufaransa, Antonne Griezman ameshinda tunzo ya goli bora la wiki alilolifunga katika mchezo wa makundi katika ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya AS Roma. Mchezo ulioisha kwa Atletico kushinda 2-0.
Post a Comment
Post a Comment