Real Madrid ina mpango kabambe wa kuwabeba nyota wawili kutoka ligi kuu Uingereza ambapo inaandaa mpango kabambe wa kuzishawishi klabu za Liverpool na Tottenham ikitaka kuwabeba nyota wake.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba klabu hiyo ipo kwenye mipango ya kumsajili nyota wa Liverpool, Mohammed Salah ambaye jana ametoka kuchaguliwa kuwa mchezaji bora kutoka Afrika, tunzo iliyotolewa na BBC wakati kwa upande wa Tottenham imepanga kutumia utajiri wake kumsajili mlinda mlango wa klabu hiyo, Hugo Lloris.
Post a Comment
Post a Comment