Nyota wa klabu ya Liverpool, Emre Can inaelezwa amekubali kutua Juventus, klabu ambayo imekuwa ikimhitaji kwa muda mrefu.

Emre Can inaelezwa amekubaliana na Juventus ambayo ipo tayari kumpa mkataba wa miaka mitano na mshahara wa euro milioni 4 kwa mwaka pamoja na nyongeza ambapo ataungana na klabu hiyo mwisho wa msimu ambapo ndipo mkataba wake na Liverpool utafikia ukomo. Mkataba wa Liverpool na mchezaji huyo unaisha mwezi juni mwakani.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.