Klabu ya Manchester united imepanga kuingia kwenye vita ya kumuwania nyota wa Juventus, Alex Sandro ambaye amekuwa akifukuziwa kwa karibu na klabu ya Chelsea.
Man utd imepanga kumsajili nyota huyo anayetajwa kuwa na thamani ya paundi milioni 60 licha ya kuwa na msimu mbaya.
Alex Sandro anayecheza nafasi ya mlinzi wa pembeni mwenye miaka 26 amekuwa akifukuziwa na Chelsea, pia na Manchester city.
Post a Comment
Post a Comment