Jumapili hii kutakuwa na mchezo wa watani wa jadi, Manchester united ikiikaribisha Manchester city nyumbani Old Trafford. Lakini kuna hatari mchezo huo ukasogezwa mbele kutokana na hali ya hewa.
Mamlaka ya hali ya hewa nchini Uingereza imetahadharisha huenda kukawa na udondokaji mkubwa wa mabarafu hali inayoendelea mpaka sasa ambapo inawezekana hali hiyo ikasababisha kuhairishwa kwa mchezo huo kutokana na uwanja (sehemu ya kuchezea) kuwezekana kupatwa na kiasi kikubwa cha mabarafu.
Post a Comment
Post a Comment