Nyota raia wa Hispania ambaye alizaliwa nchini Brazil, Diego Costa huenda akacheza mchezo wake wa kwanza unaotambulika akiwa klabuni Atletico Madrid.

Inaelezwa kuwa Diego Costa anaweza akacheza katika mchezo wa kombe la mfalme maarufu kama Copa Del Ley mapema mwezi januari mara baada ya kutokuruhusiwa kucheza kutokana na adhabu iliyoadhibiwa klabu yake ya Atletico Madrid ya kutotakiwa kufanya usajili mpaka mwezi januari.

Diego Costa hajaingia uwanjani kucheza mchezo wowote wa kiushindani toka alipofanya hivyo akiwa Chelsea kabla ya kuuzwa na kutimkia Atletico Madrid.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.