Klabu ya Barcelona imepanga kuifata klabu ya Arsenal katika kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji anayeichezea klabu hiyo.
Barca inataka kumsajili Mesut Ozil wa Arsenal ili kumfanya kuwa mbadala wa Phillipe Coutinho ambaye ilikuwa inamfukuzia kwa muda mrefu ila inaonekana klabu yake ya Liverpool haitaki kumwachia.
Mesut Ozil ambaye mkataba wake unaisha kipindi cha kiangazi mwakani hajasaini bado mkataba mpya na hivyo kuongeza nia ya Barcelona kumchukua nyota huyo ambaye alishawai kuichezea Real Madrid kuongezeka.
Post a Comment
Post a Comment