Klabu inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara, Azam FC imepokea taarifa za msiba kutoka kwa mchezaji wa klabu hiyo, Wazir Junior aliyefiwa na mama yake huko Lushoto mkoani Tanga.

Wazir Junior amefiwa na mama yake aliyekuwepo mkoani humo usiku wa kuamkia leo, taarifa za rambi rambi zimetumwa na klabu hiyo kwenda kwa ndugu na jamaa wa msiba huo.

Na sisi kama @MitaaniForum tunatoa pole kwa ndugu na jamaa wote walioguswa na msiba huu kwa namna moja ama nyengine.

Post a Comment

Johnny MaLcom x

{picture#https://pbs.twimg.com/media/DMZ1UrCXcAAa6Ij.jpg} Johnny malcom is the proffesional public health officer,graphic designer and amature mechanical engineer who likes blogging as much as eating. {facebook#https://www.facebook.com/Runc2} {twitter#https://twitter.com/Runcxx} {google#https://plus.google.com/u/0/113916418534820565109} {pinterest#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {youtube#YOUR_SOCIAL_PROFILE_URL} {instagram#https://www.instagram.com/official.seeker/?hl=en}
Powered by Blogger.